Posts

REST IN PEACE MWAJUMA

Image
Pumzika kwa amani dada yangu kipenzi mwajuma  ilikua kama ndoto kumbe ndo unaniacha. mwajuma alizaalliwa mwaka 1995  akafariki mwaka 2015 tarehe 19-04- jumapili usiku kwa asie mfahamu mwajuma abonyeze apa ww mwajuma rest in peace   BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHESHIMIWE

HAMIDU FT YOUNG D

Bonyeza apa kupata waimbo wa hamidu ft young d nimekasilika Mzigo mkali "BONYEZA APA KU DOWNLOAD" kama unahitaji kuwa unapata nyimbo mpya acha email yak yako au whats app namba ya kua wa kwa kupata kitu kipya

JE SIMU YAKO INASUMBUA CHAJI

Naitwa paschal tungu paschal kama simu yako ina tatizo la kukata chaji basi mimi nimekutafutia ufumbuzi wa tatizo lako bonyeza apa

MAELEZO JINSI YA KUFUNGUA BLOG

NI BLOG ILIO UNDWA KWA MALENGO YA KUFIKISHA HABARI habari yako wewe unae soma apa mimi kwa jina naitwa paschal tungu ni admin wa blog hii kwa mfano na ww unahitaji blog yako wasiliana nami nikupe maelekezo jinsi yakufungua blog au bonyeza apa paschal tungu facebook au kuni chek kwe.ye blog yangu ni bonyeza apa ASANTE KWA KUCHAGUA NGIKA THE BOY

PASCHAL TUNGU

My information go it to see my info: https://m.youtube.com/channel/UC7xnd1d7m6vIqpcRxqs526Q  #au una weza kuni add facebook https://m.youtube.com/channel/UC7xnd1d7m6vIqpcRxqs526Q? kwa jina lililopo apo juu na ku like page yangu

MCHAGA NOMA

Image
Wazee wa kichaga noma!! Mzee mmoja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama, kisha anapiga honi, akitoka askari mlinzi, anaondoka. Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, akamvizia alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Haki ya mungu babaangu, Nina pesa zangu katika account hapa bank naogopa usilale usingizi ndio maana kila siku usiku napita kukuangalia kama umelala... Post b y paschal tungu

AJALI

Image
bas la nganga linalofanya safar iringa kilombero limegongana uso kwa  uso na fuso kisha magar hayo kuteketea kwa moto huku maeneo ya miliman km kadhaa kutoka ruaha mbuyun kama unaenda moro. watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengne wamekufa kwa kuteketea na moto ajal hyo imetokea leo asbh saa 2 Post by Paschal tungu