AJALI
bas la nganga linalofanya safar iringa kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magar hayo kuteketea kwa moto huku maeneo ya miliman km kadhaa kutoka ruaha mbuyun kama unaenda moro. watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengne wamekufa kwa kuteketea na moto ajal hyo imetokea leo asbh saa 2 Post by Paschal tungu