Posts

Showing posts from January, 2016

viDeO zA SHyTowN

Image
video ya vijana wa shy town wakifanya yao ndani ya ley missanga tazama video hii by ngikatheboy

ToLeO JiPyA

Image
huyu ndio bloggerlidt wa shinyanga ungana nae  facebook na mitandao mingine kama  instagram na  twitter  bonyeza izo link ikupeleke moja kwa moja hadi kwenye wall yangu we need your sapport

NEW APPLICATION NGIKATHEBOY TZ APP

New usichelewe kupata vitu vipya aya sasa download application ya NGIKA THE BOY Kwenye simu yako ya android Bonyeza hapo chini kupata "BONYEZA HAPA KUPATA APP YA NGIKATHEBOY" We need your support Tuna hitaji ushirikiano wako asante

JINSI KUMPIMA MPENZI WAKO

Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia. Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi. Alitembelea duka la vipodozi na urembo akajikwatua sawa sawa! Alivyorudi kwa mchumba wake akamwambia, "nimeamua kutumia pesa yote kwa ajili ya kujipamba ili nizidi kukupendeza machoni pako na kukuvutia maana nakupenda sana." Hakika yule mwanaume akapendezwa sana na mpenzi wake. Mwanamke wa pili alinunua zawadi kwa ajili ya bwana wake. Alinunua simu janja mpya kwa ajili ya bwana wake, saa ya kisasa, nguo na viatu vizuri. Alivyofika kwa bwana wake alimwambia, "pesa yote nimeitumia kununua hizi zawadi zako maana nina kupenda sana." Jamaa akafarijika sana Mwanamke wa tatu aliwekeza zile pesa kwenye soko la hisa na baada ya muda fulani alipata faida ya shilingi 2,000,0...