Posts

Showing posts from July, 2015

VICHEKESHO MOTOMOTO

Kama Leo hujacheka bac Cheka kidogo ** CHEKA KIDOGO **     Majambazi waliliteka gari moja lililokuwa limesheheni abiria. Baada ya abiria kusachiwa na majambazi hao na kukutwa hawana pesa, majambazi wakasema kila mtu atapigwa viboko ( bakora ) kutokana na namba ya shati alilovaa. Aliyekuwa hana namba atasalimika Kazi ikaanza, jamaa alievaa jezi ya ROONEY wa Man U akapigwa fimbo 10, mwengine alievaa nguo ya 50cent akapigwa 50, n.k, sasa kwa pembeni kulikuwa na jamaa analia sana yaani kila akijiangalia kumbe alikua amevaa fulana limeandikwa LOWASA 2015 doh! Unajua kilichotokea ngoja niweke simu chaji!!! Kwa vichekesho zaidi bonyeza apo ==>  cheka kidogo