MCHAGA NOMA

Wazee wa kichaga noma!!

Mzee mmoja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama, kisha anapiga honi, akitoka askari mlinzi, anaondoka. Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, akamvizia alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Haki ya mungu babaangu, Nina pesa zangu katika account hapa bank naogopa usilale usingizi ndio maana kila siku usiku napita kukuangalia kama umelala...

Post by paschal tungu

Comments

Popular posts from this blog

STORY KARI YA NIRAMBE APA

VICHEKESHO MOTOMOTO

JINSI KUMPIMA MPENZI WAKO