Posts

MCHAGA NOMA

Image
Wazee wa kichaga noma!! Mzee mmoja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama, kisha anapiga honi, akitoka askari mlinzi, anaondoka. Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, akamvizia alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Haki ya mungu babaangu, Nina pesa zangu katika account hapa bank naogopa usilale usingizi ndio maana kila siku usiku napita kukuangalia kama umelala... Post b y paschal tungu

AJALI

Image
bas la nganga linalofanya safar iringa kilombero limegongana uso kwa  uso na fuso kisha magar hayo kuteketea kwa moto huku maeneo ya miliman km kadhaa kutoka ruaha mbuyun kama unaenda moro. watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengne wamekufa kwa kuteketea na moto ajal hyo imetokea leo asbh saa 2 Post by Paschal tungu

SHINYANGA

Habari yako wewe unae soma Mimi kwa jina naitwa PASCHAL TUNGU Naishi shinyanga Lubaga ni kiongozi wa blog hii wewe ukiwa kama mfuasi wa NGIKA THE BOY nakuomba kuwa unaipa sapot ya kutosha blog hii kwa kupata habari kama vile; 1; Michezo 2; Siasa 3; Story za mapenzi za kusisimua 4; Story za kufunza kuchekesha 5: Picha za aina tofauti Ivyo ukiingia www.ngikatheboy.blogspot.com mfahamishe na rafiki yako kwenye blog hii Note;penda kukuza uchumi wako kumbuka kama wewe ni kijana na unahitaji kuweka nyimbo zako internet unashindwa pia unaweza kuwasiliana nami kwa anuani zifuatazo Simu; 0759380267 au 0653798996 Email; paschaltungu03@gmail.com Facebook; Paschal Tungu Shukrani kwa watu woote mnao ipa sapoti blog hii www.ngikatheboy.blogspot.com ™®©     ASANTENI SANA ™2014~2015

RATIBA WEEKEND HII

RATIBA YA LIGI KUU WEEKEND HII JUMAMOSI 11/4/2015 JKT RUVU VS COASTAL UNION~CHAMANZI COMPLEX KAGERA SUGAR VS RUVU SHOOTING~KAMBARAGE SHINYANGA MTIBWA SUGAR VS AZAM FC~MANUNGU MOROGORO NDANDA FC VS PRISONS~NANGWANDA MTWARA JUMAPILI 12/04/2015 YANGA SC VS MBEYA CITY FC~TAIFA DSM STAND UNITED VS POLICE FC~KAMBARAGE SHINYANGA.

MAJANGA YA YA MWAKA

Mtanzania aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148, Rashid Charles Mberesero (20) ni mwanafunzi wa kidato cha tano, lakini uongozi wa shule anayosoma umesema alitoweka shuleni hapo Desemba Novemba 2014.   Habari zilizothibitishwa na wazazi wake ni kuwa mwanafunzi huyo anasoma katika Shule ya Sekondari ya Bihawana, Dodoma, baada ya kufaulu katika Shule ya Sekondari Gonja mkoani Kilimanjaro.   Mama mzazi wa kijana huyo, Fatuma Ali alisema jana kuwa: “Baada ya kufaulu alichaguliwa kujiunga na Sekondari ya Bihawana na likizo alirudi nyumbani na baada ya likizo kuisha aliniaga anarudi shuleni.”   Taarifa hizo zimekuja wakati Mberesero maarufu kwa jina la Rehani Dida, akitarajiwa kufikishwa mahakamani leo jijini Nairobi baada ya watuhumiwa wengine kufikishwa mahakamani juzi.   Mwendesha mashtaka, Daniel Karuri alisema, “Rehani Dida” hakufikishwa kortini kwani alikuwa na wapelele...

Msimano ligi kuu TANZANIA BARA

Image
Huu ni msimamo ligi kuu tanzania bara ikiongozwa na yanga young africa Endelea kufuatilia blog hii kwa habari zaidi post by paschal tungu SHINYANGA

Stand United vs mtibwa sukari

Image
Mchezo kumalizika wakiwa wametoka 1-0 stand akiwa anaongoza mmh kilio kwa mtibwa sukari wakati huo stand akiwa na point 24 mungu ibariki stand united mungu ibariki SHINYANGA  post by paschal tungu au babu ngika