STORY KARI YA NIRAMBE APA
[11:59AM, 7/30/2015] Ngika: Hahahahah.....Chekini Hiii Mkiipenda Nitakuja Nayooo...... Utangulizi wa Story,,,, Nilipojiunga na elimu ya Sekondari nilikuwa mshamba sana na mambo ya mapenzi mimi wala nilikuwa siyajui na wala sikuwa na mawazo hayo.Nilipokuwa na wenzangu niliwasikia wakipiga stor kuhusu wasichana, na mimi nilikuwa nasapot tu ila kiukweli sikuwa najua chochote wala sikuwa na mazoea na wasichana wa pale darasani na ata wao walitambua hilo.Siku moja tulikuwa kwenye foleni ya kupata chai mda wa saa nne,shile ilikuwa ya kutwa ila saa nne tulikuwa tunakunywa chai pale shuleni.Nilichukua chai, nikawa naenda kukaa ila kabla sijafanya hivyo kuna dada alikuja na kunipamia kitendo kilichofanya chai yangu kunimwagikia na vipande vyangu vya mkate vikaloa.nilipomwangalia yule dada hasira zilinipanda kwa sababu dada yule alikuwa anatokea kidato cha pili sasa humu kwenye darasa la kidato cha kwanza amefuata nini? Nilimwangalia kwa hasira mda huo shati langu limeloa c...

Comments
Post a Comment
weka maoni yako apa