Posts

Image
WAFANYAKAZI WA DIZAINI HII TUWAEPUKE ILA SWALI LINAKUJA JE TUTA WAEPUKA VIP WAKATI SIE HUA TUNASHINDA MA KAZINI KWETU ANGALIA VIDEO HII KISHA TUJE TU DISKASI PAMOJA NAWE JINSI YA KUSHIRIKI NI RAHISI SANA  BOFYA HAPAAA =====>>  ngikatheboyTZ <======= au unaweza kushiliki kwa kushuka chini na kuacha namba zako kisha mie nitakuunga whatsapp kwa mawasiliano zaidi note; THANKS ALL MY FRIEND ASANTENI SANA WOTE MLIO TEMBELEA BLOG HII PIA USISAHAU KUMWAMBIA RAFIKI YAKO KWANI BLOG HII NI YA WOTE NB,, NGIKA THE BOY FAHARI YA SHINYANGA 0759380267 NA 065655493 KWA WHATSAPP ONLY AHSANTENI SANA fahari ya shy

MADEMU AMBAO HAWAJUI KINGILEZA UTAWAJUA LIKE HUYU 👉

Image
Nduati  &  his gf Mueni on watsapp Nduati : Hi dear. Mueni : ✋ Nduati: how are you .?? Mueni : 😊👍 Nduati : missing me..? Mueni : 😜😉 Nduati : I'm not feeling well... Mueni : 😱 Nduati : How was your day..??? Mueni : 👌 Nduati : are you busy.?? Mueni  : ✔ Nduati : Why ?? What are you doing ?? Mueni : 💄💅 Nduati : is there anyone near you..?? Mueni  : ❌ Nduati : why don't you reply in words? Why are you using smiley faces? Mueni  :- 😥😡 Nduati : I heard you failed in English ?? Mueni : Who telled you ? It is unpossible.. I went to saw the resalt yestathey... I Passed away Nduati : hmmm lets go back to smileys pls 😳😳😳 Mueni :- Hokey ndia, God blast you. NOMAAAA XANAAA KWA VICHEKEDHO ZAIDI BONYEZA HAPA ====>>>>> ngikatheboyTZ <<<<<===== PIA ASANTE SANA KWA KUWA MFATILIAJI MZURI WA BLOG HII hata mimi naikubali ngika the boy pamoja brooo

viDeO zA SHyTowN

Image
video ya vijana wa shy town wakifanya yao ndani ya ley missanga tazama video hii by ngikatheboy

ToLeO JiPyA

Image
huyu ndio bloggerlidt wa shinyanga ungana nae  facebook na mitandao mingine kama  instagram na  twitter  bonyeza izo link ikupeleke moja kwa moja hadi kwenye wall yangu we need your sapport

NEW APPLICATION NGIKATHEBOY TZ APP

New usichelewe kupata vitu vipya aya sasa download application ya NGIKA THE BOY Kwenye simu yako ya android Bonyeza hapo chini kupata "BONYEZA HAPA KUPATA APP YA NGIKATHEBOY" We need your support Tuna hitaji ushirikiano wako asante

JINSI KUMPIMA MPENZI WAKO

Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia. Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi. Alitembelea duka la vipodozi na urembo akajikwatua sawa sawa! Alivyorudi kwa mchumba wake akamwambia, "nimeamua kutumia pesa yote kwa ajili ya kujipamba ili nizidi kukupendeza machoni pako na kukuvutia maana nakupenda sana." Hakika yule mwanaume akapendezwa sana na mpenzi wake. Mwanamke wa pili alinunua zawadi kwa ajili ya bwana wake. Alinunua simu janja mpya kwa ajili ya bwana wake, saa ya kisasa, nguo na viatu vizuri. Alivyofika kwa bwana wake alimwambia, "pesa yote nimeitumia kununua hizi zawadi zako maana nina kupenda sana." Jamaa akafarijika sana Mwanamke wa tatu aliwekeza zile pesa kwenye soko la hisa na baada ya muda fulani alipata faida ya shilingi 2,000,0...

STORY KARI YA NIRAMBE APA

[11:59AM, 7/30/2015] Ngika: Hahahahah.....Chekini Hiii Mkiipenda Nitakuja Nayooo...... Utangulizi wa Story,,,, Nilipojiunga na elimu ya Sekondari nilikuwa mshamba sana na mambo ya mapenzi mimi wala nilikuwa siyajui na wala sikuwa na mawazo hayo.Nilipokuwa na wenzangu niliwasikia wakipiga stor kuhusu wasichana, na mimi nilikuwa nasapot tu ila kiukweli sikuwa najua chochote wala sikuwa na mazoea na wasichana wa pale darasani na ata wao walitambua hilo.Siku moja tulikuwa kwenye foleni ya kupata chai mda wa saa nne,shile ilikuwa ya kutwa ila saa nne tulikuwa tunakunywa chai pale shuleni.Nilichukua chai, nikawa naenda kukaa ila kabla sijafanya hivyo kuna dada alikuja na kunipamia kitendo kilichofanya chai yangu kunimwagikia na vipande vyangu vya mkate vikaloa.nilipomwangalia yule dada hasira zilinipanda kwa sababu dada yule alikuwa anatokea kidato cha pili sasa humu kwenye darasa la kidato cha kwanza amefuata nini? Nilimwangalia kwa hasira mda huo shati langu limeloa c...