Posts

JINSI KUMPIMA MPENZI WAKO

Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia. Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi. Alitembelea duka la vipodozi na urembo akajikwatua sawa sawa! Alivyorudi kwa mchumba wake akamwambia, "nimeamua kutumia pesa yote kwa ajili ya kujipamba ili nizidi kukupendeza machoni pako na kukuvutia maana nakupenda sana." Hakika yule mwanaume akapendezwa sana na mpenzi wake. Mwanamke wa pili alinunua zawadi kwa ajili ya bwana wake. Alinunua simu janja mpya kwa ajili ya bwana wake, saa ya kisasa, nguo na viatu vizuri. Alivyofika kwa bwana wake alimwambia, "pesa yote nimeitumia kununua hizi zawadi zako maana nina kupenda sana." Jamaa akafarijika sana Mwanamke wa tatu aliwekeza zile pesa kwenye soko la hisa na baada ya muda fulani alipata faida ya shilingi 2,000,0...

STORY KARI YA NIRAMBE APA

[11:59AM, 7/30/2015] Ngika: Hahahahah.....Chekini Hiii Mkiipenda Nitakuja Nayooo...... Utangulizi wa Story,,,, Nilipojiunga na elimu ya Sekondari nilikuwa mshamba sana na mambo ya mapenzi mimi wala nilikuwa siyajui na wala sikuwa na mawazo hayo.Nilipokuwa na wenzangu niliwasikia wakipiga stor kuhusu wasichana, na mimi nilikuwa nasapot tu ila kiukweli sikuwa najua chochote wala sikuwa na mazoea na wasichana wa pale darasani na ata wao walitambua hilo.Siku moja tulikuwa kwenye foleni ya kupata chai mda wa saa nne,shile ilikuwa ya kutwa ila saa nne tulikuwa tunakunywa chai pale shuleni.Nilichukua chai, nikawa naenda kukaa ila kabla sijafanya hivyo kuna dada alikuja na kunipamia kitendo kilichofanya chai yangu kunimwagikia na vipande vyangu vya mkate vikaloa.nilipomwangalia yule dada hasira zilinipanda kwa sababu dada yule alikuwa anatokea kidato cha pili sasa humu kwenye darasa la kidato cha kwanza amefuata nini? Nilimwangalia kwa hasira mda huo shati langu limeloa c...

VICHEKESHO MOTOMOTO

Kama Leo hujacheka bac Cheka kidogo ** CHEKA KIDOGO **     Majambazi waliliteka gari moja lililokuwa limesheheni abiria. Baada ya abiria kusachiwa na majambazi hao na kukutwa hawana pesa, majambazi wakasema kila mtu atapigwa viboko ( bakora ) kutokana na namba ya shati alilovaa. Aliyekuwa hana namba atasalimika Kazi ikaanza, jamaa alievaa jezi ya ROONEY wa Man U akapigwa fimbo 10, mwengine alievaa nguo ya 50cent akapigwa 50, n.k, sasa kwa pembeni kulikuwa na jamaa analia sana yaani kila akijiangalia kumbe alikua amevaa fulana limeandikwa LOWASA 2015 doh! Unajua kilichotokea ngoja niweke simu chaji!!! Kwa vichekesho zaidi bonyeza apo ==>  cheka kidogo

MAELEZO MAFUPI JUU YA BLOG

Paschal Tungu alifungua blogspot kwa madhumuni ya kufjkidha taarifa kwa watanzania na nchi jirani .       Salamu kwako unaesoma hapa  Kwajina naitwa paschal Tungu  Naishi shinyanga  Kwa mfano unahitaji Kufungua blog   Naomba uwasiliane na paschal kwa anuani zifuatazo  +Pascal Big   +Paschal Tungalaza   Au namba zilizopo chini  0759380267 ©® ™ 

NYIMBO ZA DIAMOND NA YOUNG KILLER

Image
Nyimbo mpya ya diamond nana Kama ulikua huja wahi kuiona video hii bonyeza apo chini kui tazama Bonyeza apa kutazama nyimbo young killer

REST IN PEACE MWAJUMA

Image
Pumzika kwa amani dada yangu kipenzi mwajuma  ilikua kama ndoto kumbe ndo unaniacha. mwajuma alizaalliwa mwaka 1995  akafariki mwaka 2015 tarehe 19-04- jumapili usiku kwa asie mfahamu mwajuma abonyeze apa ww mwajuma rest in peace   BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHESHIMIWE

HAMIDU FT YOUNG D

Bonyeza apa kupata waimbo wa hamidu ft young d nimekasilika Mzigo mkali "BONYEZA APA KU DOWNLOAD" kama unahitaji kuwa unapata nyimbo mpya acha email yak yako au whats app namba ya kua wa kwa kupata kitu kipya